interview imeenda nje ya contexts ingenoga yaani ungeenda na mahojiano vizuri hatua kwa hatua tangu safari yake ilipoanzia mpaka sasa Halafu suala la mario alikuwa mada mada ilikuwa kwa msami kwahiyo mahojiano yangekuwa tu kumuhusu yeye msami ingeleta maana zaidi
PART2: SAFARI YA MSAMI AELEZEA TETESI ZA KUFANYA SHOW MAREKANI/KUKUTANA NA MARIOO, ROMA