Sa mbona ujamuulza kuhusu bebez jamani tujue kama ana demu wa kizungu au laaah..!!au experience ya kuwa na demu wa kizungu ishakuwa Kwa ukubwa😅😅😅so far so gud😂😂 nakubaleeeee🎉🎉🎉❤❤❤meh na omb Kuna msichana Instagram anajiita I am baby kitu kama iko nae ni mtanzania ila ni mjeda USA muombe interview tujue imekuwje ad kufika uko maan tulisoma nae Kitunda sec gafra tunamuona USA please🙏🙏🙏🙏
Leo nimegundua network tatizo linakuwaga upande wa Swalahe 😮sehemu unayokaa nadhani una kaa nje ya mji😮 waombe wifii za home kwenye kampuni kama Za three, 02....watakupa but bei kidogo juu. but kwa kazi yako you need it or wakupe ushauri or ongeza megabite kubwa contracts 😅