Kaka Amrisaly kuna wa watu wana elimu kuliko wewe lakini hawajafikiwa kama wewe lakini pia kuna watu wanabidii kuliko wewe lakini hawana matokeo kama yako hivyo basi 100 percent spiritual power(GOD BLESSINGS) zinahusika KATIKA MAFANIKIO na piah kaka amekupa mfano wa mafanikio ya YAKOBO in bible.