Ivi nani kagundua kam Saleh anatafuta experience mapeeeeem ya kuw na Dem mzungu😂😂😂daaah maan maswal ya demu wa kzngu meeeengi mno ila unafanyag vizuri nakubaleeeee😂😂❤❤❤
Brother Saleh usiwe unawaoji mastar peke Yao jaribu basi kutafuta wasafiri wegine walio inje ya Africa nasisi tupate kujifudisha kitu kwasisi abao tunapenda Siku Moja tusafiri twede kutafutia maisha ulaya ao usa Canada