The Lisa Story (Pt 4): Sikumsaliti Mabeste, NDOA ilishindikana, ninayempenda familia yake imenipokea

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

114,626 views

Exclusive interview na Lisa Karl Fickenscher, aliyekuwa mke wa rapper Mabeste. Baada ya Mabeste kufanya mahojiano kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kuvunjika kwa ndoa yao na kumtupia lawama nyingi, Lisa naye ameamua kuzungumzia upande wake. Kwenye interview anaelezea ndoa yao, matatizo waliyopitia na chanzo cha kuachana