HILI LIMEMTISHA FLORA / UNACHUKUA WATOTO WANGU UTANIKUTA MWANZA KABLA YAKO, NAPITA HEWANI
Nitetee TV
Subscribe
171,150 views
No description available
Show more
20 Comments
@salamanauthartanzania6301
5 years ago
Da Flora nakupenda kwa ajili ya ALLAH'
13
@musilivisabala9259
5 years ago
Mungu akupee mwika mingi katika maisha yako dada love from 🇰🇪
8
@baharainbh5468
5 years ago
Huyu mzee anahitaji kufungwa pamoja na mama ile wengine wenye tabia kaa hizi wajifunze
12
@bintkijangwa4305
5 years ago
Allah akulipe kila la khery da frola hakika kazi unayofanya ni kubwa mno
11
@shamimhayat7637
5 years ago
Flora unaongea kwa hekima sana namuomba Mwenyezi Mungu akulinde asante
5
@charlesdanielyfunag150
5 years ago
Allah akupe umri mref mpenzi inasaidiya sana katika jamii mwenyez mungu akujaliye kheri na baraka
4
@zakyahya4645
5 years ago
Uyu ndio mtu wa Mungu hakika akuna Mfano wako da flora Mungu azidi kukulinda inshallah
4
@dottohamisi9844
5 years ago
Hongera sana dada flora kwa kazi unayo fanya mwenyezimungu atakulipa kwa kila kazi unayo fanya 🙏🙏
4
@sophiakasana2937
5 years ago
Doctor wewe ni shujaaa mungu akulinde
Mfike salama
6
@baimarrajahbuayan6237
5 years ago
Dada frola una moyo msaf we dada mungu akuweke yaraby utusaidie Zaid 🤲🤲🤲🤲maana ujafa ujaumbika!!!!! Mungu akutie nguvu Kila Leo inshallah
3
@cheiknamouna2058
5 years ago (edited)
Alafu da Flora umenifurahisha hao watoto wametokelezea Mungu akubariki sana wameonekana kama Simba na Yanga 👍👍
5
@rachelndalio6258
5 years ago
Hongera Sana dada Flora mungu aendelee kukupigania Kila uingiapo na Kila utokapo
4
@hassanmpemba5747
5 years ago
hongera brother kwa huruma ulionayo kwa kusaidia pamoja na dada flora
4
@priscacharlescharles9014
5 years ago
Mungu baba wa mbinguni mpe nguvu dada frola aki ya Mungu dada kazi hii unayoifanya yataka moyo Hongera sana dada
1
@nazarenajoseph2695
5 years ago
Mungu akubariki sana Frola . I love you usichoke bint .
2
@totmohammed6430
5 years ago
Unakz dadaangu pole sana mungu atakusaidi mwenye kazi zako inshallah
2
@ziarasaidi502
5 years ago
Da Flora Allah akupe umri mrefu zaidi na zaidi na akufanyie wepesi kwa yale mazito unayokabiliana nayo nakufatilia Sana
2
@katayaloveness5529
5 years ago
Mashaallah ❤️❤️❤️ much love and respect dada flora mungu atakulipa zaidi na zaidi inshaahllah 💖🤲🏾
8
1 reply
@stellakatega2033
5 years ago
Pole da fro Mungu akupe siku nyingi za kuishi
2
@ammylovealliy5174
5 years ago
Mashallah mungu akujalie akuzidishie riski zainje nandani kwakaziyako missyou homm sana japo nipo ughaibuni
3
Details
Related Videos
Comments
HILI LIMEMTISHA FLORA / UNACHUKUA WATOTO WANGU UTANIKUTA MWANZA KABLA YAKO, NAPITA HEWANI
Nitetee TV
Subscribe
171,150 views
No description available
Show more