The child is already attached to you dada flora mpaka hataki ata kuenda mbali nawe .baba amsaidie akiwa hapo kwako maana ni wewe tu anaekuamini.big ❤️ from 🇰🇪🇰🇪
Daa ni mtihani jamani mama gift ana depression sasa anamalizia kwa mtoto. Asante dada flora mungu akubariki mtoto ameanza kupendeza mungu tu amtunze.je dada florah habari sigaya vipi hajapatikana bado?
Wawooo furaha tele mtoto kupata baba baada ya ujinga wa mama yake👏👏👏👏 kweli kilakitu kina mana yake huwezi jua njia za Mungu!!! Dada natamaani nikubusu but uko mbali
Uyu baba kumuchukuwa nisawa ila akiwa na muk yeye aweze kumutesa tena uyo mtoto mana wanawake niwabaya kunawenye awatakaki kureya watoto wawaume zaho nibora Angebaki apo apo