Hongereni sana M&S podcast Kwa interview zenu safi Kila kitu kina uzuri na ubaya ila Kwa hii podcast yenu najifunza kuona mazuri na kusikiliza yale yenye manufaa kwangu🎉
Vyombo vya ulinzi na usalama CCM imetoka hadharini na kusema ni mali yake, ndio tunavyoona na upendeleo wa wazi kwa ccm, makamanda wa zamani semeni ukweli, tutaangamiza hii nchi kwa mwenendo mliojiingiza huu...Mungu atunusuru na hali hii ya ubinafsi ulikithiri katika mioyo watu hawa...
I salute you Mh.Simba For your very enlighting and focused contribution presentation. Ushauri wangu bado naomba Jessica la Wananchi naomba mounted heshima ye nu kama chombo cha ulinzi wa taiga letu, jiepusheni hizi cheap politics za ccm, wananchi wamesikitika sana na kutokuwa na uhakika wa imani nanyi tena baada ya kauli ya Chacha wa ccm, na mlipoacha watu na matokeoya 29th, October 2025
Yeye mwy Kanal Simbakalia ni mfano tosha wa jeshi kufanya siasa. ukiwa km mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati kuu ya ccm ya mkoa km mkuu wa mkoa sasa mwanajeshi kuingia kwy vikao vya ccm hiyo sio jeshi kushiriki siasa tena wakiegemea ccm.!! inasikitisha sana Mzee km huyu kwa umri wake kuendelea kuweka tumbo lake mbele badala ya maslahi ya Taifa kwa kuliambia Taifa na kizazi kipya ukweli..
Thank you M&S PODCAST
🇹🇿🇹🇿🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿