Wakat wa Mungu ndio wakati sahihi, Mwenyezi Mungu niwewe pekee hujawahi kuacha waja wako wakaaibika. Asante kwa wote mlioguswa kwaajili ya familia hii.
Dah ila umasikini huu sitoongea sana ila Asante Mungu wangu kwakunitoa mahali na Asante Kwa nilipo na ya baadae wewe Mungu ndo unajua kuhusu maisha endelevu
Esko, Anderson na wote waliojitoa kusaidia Mungu awabariki sana. Nimependa zaidi mtoto kupata nafasi ya chuo moja kwa moja, sikuhizi form 5 na 6 sio lazima kivilee. Mradi anajua anachokipenda wacha asome hiyo. Mungu atawalipa 😢😢😢😢😢😢