Mafundisho haya ni ukumbusho nilipokua Saudi Arabia hakika nimerudi nyuma kimaombi kwa makusudi, but kwa fundisho hili nimejirudia na nimefuata vile umefundisha na hakika nahisi hofu ya Mungu ndani yangu. Glory be to God 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mungu aku bariki saaaaaana mutumishi kwa kutu elekeza na ani saidiye niwe mwenye kujutiya kwa hiyo nime fanya mabaya, roho mutakatifu mwalimu mukuu ani funze tena zaidi ❤❤❤
Namshukuru Roho mtakatifu kwa ajili ya kuachilia mafunuo haya kwako, Mungu akubariki sana nimebarikiwa na nimevuka kwa ushindi kwa Jina la YESU 🙏🙏🙏.
Amen Mungu naomba mafuta ya kibali cha maombi uniondolee utando wa mazuio kwenye njia ya maombi yangu katika jina la Yesu na kwa damu ya Yesu kristo aliye hai
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU, Uzidi kutupa neno la kiroho. Hilo tatizo nilishakua nalo Hadi nikaogopa, ila nilipoendelea yaliishia njiani Hadi nikazoea maombi.