Bwana Yesu nakuomba umponye binti yangu madonda ya tumbo yasiyosikia dawa, tumaini letu ni wewe pekee,tunaomba usikie sauti ya kuomba kwetu hatuna msaada mengine akili imefika mwsho,lkn bado lipo tumanini katika wewe ututiae nguvu🙏
Asante Mungu kwaajili ya mtumishi wako, nimefunguliwa ghafla nimeona kama kitu kinatoka tumboni mwangu,hata siwez kuelezea nilikuwa nimeshikilia tumbo kitu kimekuwa kigumu kimecheza marra mbil kama mtoto anajifeuza kikapotea, Asante sana Mungu mponyaji
Baba asante kwamaombi yako kwaajili yetu tunapona baba ilatumekuwa hatuǰui namna yakutoa sadaka nashukuru sana ipo siku itawezekana kufuta makosa ya utoaji sadaka mungu azidikukupa uzima ili uzidi kutufundisha neno lake na mambo yake yote Ameni