Mungu awabariki sana, na asante kwa kuungana nami katika maombi tuliyofanya ya "Mwanzo Mpya". Mungu awatendee, awashindie, awaonekanie, awavushe, na awape mwanzo mpya wenye kibali, neema, amani, furaha, uzima na ushindi katika kila jambo. Damu ya YESU inene mema na kuwalinda siku zote. Ameen
Wow, wow, wow! Father Lord, thank You so much for your unfailing love and amazing grace. These prayers genuinely feel like they were specifically meant for me. They are prayers for this very season and this particular moment in my life. I needed them so deeply, especially today. It feels like you knew exactly what my heart needed to hear.
Lord, thank you for using your servant to speak directly to my spirit, to encourage me, strengthen me, and remind me that you are still with me and that you are working even when I cannot see it. ๐ญ๐๐ฝ
Thank You, Jesus, for this timely word. I receive it with faith, and I believe amenโค๏ธ๐๐ฝ
Haleluyah hakika Bwana Yesu NI Mungu,ubarikiwe sana Rabbi.Kweli Namshukuru Mungu kwa mafundisho yako najifunza mengi saaana ktk kumjua Mungu. Bwana yesu akuinue zaidi.
Bwana yesu asifiwe mwalimu watu wa neno la siku, tunakushukuru kwa kutuletea mwendelezo wa mafundisho na maombi,ubarikiwe sana mtumishi mungu akutie nguvu ya kutuelimisha watoto wake
Bwana Yesu asifiwe sana. Mwalimu ubalikiwe sana kwa maombi unatuombeya. Nashukuru sana. Nilikuwa nikikusikiliza kwa mafundisho ya Dalili za kurudi kwa Yesu na nilifurahi sana. Nahitaji kukuona na kuongeya na wewe mtumishi wa Mungu, hata muda mudogo. Ikiwa vema unipe nije tuonane. Asante.
Jina la Bwana litukuzwe kwakweฤบi Yesu atupe mwanzo mpya na bila yeye hatuwezi ,mambo nimengi sana kwa sababu nimepungukiwa na mengi hiyo kiuya kumtafuta haipo kwa ndani tunakosa Imani yenyewe imepungua Mungu atupe mwanzo mpya katika yote Asante Mtumishi ubarikiwe kwa kututoa usingizini Mungu akubariki sana asante sana sifa na heshima nikwa Bwana ๐ Amen