"NI DHAMBI YAKE" - MABESTE ASIMULIA URAFIKI ULIVYOISHA NA JAMAA ALIYEZAA NA MKE WAKE
Millard Ayo
Subscribe
28,256 views
#Mabeste
Show more
20 Comments
@alphamenson3784
2 weeks ago
Baada ya kurudia hii interview nimegundua Mabeste ni very gentle. God bless mzee, all the best kwa mshikaji
5
@samniza1763
6 years ago
The problem vijana wengi nyumbani hawajaelewa kuwa mtu unaweza kuishi bila mahusiano for sometime, what they think kuwa na mahusiano ni muhimu zaidi kuliko kujipanga vizuri kimaisha.
15
@joycemagessa350
6 years ago
kweli Mungu ni ebeneza.Mungu akubariki uki.tumikia yeye kuna tumaini
5
@vero57
6 years ago
JAMANI FANYENI KIZAMANI, ITA NDUNGU ZAKO KAENI KIKAO SOLVE YOUR PROBLEM YAISHE,HAINA HAJA YA KUWAPA WATU FAIDA,MULIVYO KUTANA HATUKUEPO
6
@zuhramsuya8194
6 years ago (edited)
Inawezekn kwel alikosewa bt mwanamke anayejytambua na mwenye hofu ya Mungu hakurupuki hvyo khaa!!
6
1 reply
@fetychina3273
6 years ago
Kabisa mwachie mungu mungu huwa anahukumu kwa haki kabisa
2
@mudathirdunia7161
6 years ago
Pole sana Mabeste mungu bado yupo nawe (nakukubar saana)
1
@stiviemshuza446
6 years ago
Hard times will turn into happy times, be blessed Mabeste
8
@samniza1763
6 years ago
She's an ex, they are no longer together, so everyone has to live their life as life goes on!
3
@georgemapalala7379
6 years ago
Hongera kwake
2
@samniza1763
6 years ago
Watalii si mwaka huu kwa kweli watu ndio kwanza wamepoteza pesa kutokana na Lockdown, mnadhani pesa watatoa wapi za kuja huko kwenu?
3
@rozzymosses2601
6 years ago
Safi sana nimekupenda san
1
@jimmyx8412
6 years ago
Uko sawa
#mabeste
hao wanao kubeza hayajawakuta, na pia Maisha kunakupata na kukosa wanawake muwe wavumilia
1
@judithmanasekitomari5824
6 years ago
Mungu akubariki sana mabester
4
@vero57
6 years ago
Uko SINGLE kaka?😃😃
2
@visitDar2011
2 weeks ago
kaachwa huku yule demu Lissa 😂😂😂 mamaaaeeee
1
1 reply
@fatumayasiri7399
4 years ago
Nimshikaji nimesoma nae jamani
2
@giftitarimo4635
6 years ago
Jamaa mzito kujeleza
4
5 replies
@mariamelias1915
6 years ago
Vido naomba numba ya beste pls
5
3 replies
@jacksonmagoh2528
6 years ago
Mm anipe shavu mm ni guide pia
1
Details
Related Videos
Comments
"NI DHAMBI YAKE" - MABESTE ASIMULIA URAFIKI ULIVYOISHA NA JAMAA ALIYEZAA NA MKE WAKE
Millard Ayo
Subscribe
28,256 views
#Mabeste
Show more