Msameh mtoto sikuiz Kuna mambo meng watoto huwa wanatupiwa mapepo ya ulev,umalaya,ujambaz ko anaweza akawa anafanya yote hayo yeye mwenyew anakuwa hajion na wanavyomloga mtoto ili ww mzazi uvurugike kichwa chako km hivyo ulivyovurugika watoto tuwaombee sana kwa Mungu
Dudu baya ni mkweli sana huyu jamaa nakumbuka kwa mara ya kwanza nilimuona wille palle St.Patrick nikaonyeshwa mtoto wa The Dudu Baya. Kuna ukumbi pale tulikuwa tunaenda kuhudumia kwenye harusi ndo nikamuona wille.
Dudu baya broo uwa unaongeaga vizuri sana nakukubali sana ila ushauri wangu ukijua cku iyo una interview, usinywe pombe kabisa kwa kulinda brand ya mamba 24, konk master, na maana kusema ivyo ww unajua kutengeneza content za simuulizi nzuri unatufundisha maisha mm siwezi kukwambia ACHA pombe labda ndo maisha uliyochagua ila wakati unajijua una interview usinywe pombe kama una interview ili kulinda brand yako