Reli tu ina trioni 23 sijui bado wamelipa hata 10 hajifika kodi wanatwambia mwaka trioni 41 kwa mwaka huu choo madawati donda ndugu shuleni kwenye pesa sielewi hata mimi afu makonda yupo bacellona apiga picha na gamau huku hatuna madawati bado ell mino hatuna chakula ndani lazima twende kazini
ALAFU HIYO LUGHA ANAYOTUMIA HAPO YAANI HECHE ANATAFUTA UKABILA ILI MBADILIKE MUMFATE YEYE KABILA YAO. **YEYE AKIPEWA NCHI HII,,BAADA YA MUDA MKIMUULIZA HAYO UNAYOYASEMA YAKO WAPI ??? ATAKIMBIA NA KUJIFICHA HANA LOLOTE HUYO WALA HAFAI ELIMU YAKE NDOGO ANAFIKILIA NCHI INAONGOZWA KWA MDOMO WAKE .