Akiwa amezaliwa na mama dangote ano mbadilishia baba kila dakika ulitegemea nini mfano mdogo jinsi alivyo mkataa baba mlezi na kumdhalilisha hadharani mzee Abdul ulitegemea atakuwa na roho nzuri
Kwa hiyo raivan usisikilize hayo anayo sema daimond kukuchonganisha mbona hakusema siku zote hayo ati sasa umetafuta sababu yakutoleya wapi kama sio wivu
Wewe libaba huna haya mdomo kutwa kutanua mdomo.kwa ajili ya daimond mkome jamani hodari wa kuongea fanya wewe uoneshe mfano. Lakini pangu pa kavi Tia maji lo!!
DUDUBAYA AMLIPUA VIBAYA DIAMOND UNA ROHO MBAYA KISA MBOSSO/BABALEVO NI CHAWA ANATUMWA WANA CHUKI