NDUGU Dudu Baya anaitajika kupewa jina la mtetezi na mwana harakati mzuri sana wa wasani pia mtumishi wa watu mtu mwema ubarikiwe sana wamarekani tuko na wewe sana una ukweli ndani yako na ukweli hutuweka huru.
Huwezi kumuelewa dudubaya kama wewe ni mtu wa mihemko yaani akili na hisia vinafanya kazi sehemu moja ila akili na hisia vikifanya kazi tofauti utamuelewa tu huyo jamaa,
Hey bwana diamond platinumz acha utoto jaribu kuwa mtu mzima na busara zako pamoja na kulinda heshima yako mtegemee MUNGU kwa kila kitu unachoona kwako ni kigumu pia mkabidhi changamoto ambazo huwezi kuzikabili ambazo zinatatulika zitatue pasipo kuwa na ugonvi wa aina yoyote vitu vingine bwana haviitaji mgogoro ni mambo tu ya kawaida kwann usiish tu vizuri bila kuwa na mikwaruzo mingi vitu vingine kaushaa bro una utoto mwng sana tumia akili,hekima,busara,shauri,elimu na uchaji wa MUNGU mkaribishe ROHO MTAKATIFU na kumtegemea sana MWENYEZI MUNGU akusaidie fanya kazi na watu ambao wamesomea kazi yako pia uufanyie kazi ushauri mzuri ili uweze kufika unapotaka kupitia muziki wako ishi vizuri na jamii yako hata wasanii wenzako ili nchi yetu iwe mfano mzuri kwa wasanii wetu hata kwa ulimwengu mzima