Namuomba Allah akuongozeni hatua kwa hatua kutoka katika bidaa mmeanza hatua ya kukataa dufu inshallah mtafika mpaka kuikataa maulid yenyewe vyote hivyo ni bidaa
Hivi mkienda china chakula mnachokula mnajua aliye kiandaa.Mnachotakiwa nyie ni kukaa pekee yenu,ni Waislam wangapi mnasafiri maeneo mbalimbali ambako hakuna Waislam na mnakula chochote