Mawahabi kueni na uadilifu.Makubaliano yalikuwa baina yetu na baina yenu ni vitabu vya salafi sio muulize maswali.Mnatakiwa mseme vitabu vilivyosomwa sio salafi mnaowafuata au hamjaelewa Kwa sababu Miongoni mwa matatizo ya Mawahabi ni uelewa na uadilifu.