Mash Allah tabarak Allah, Ahsani halgyeen Jazaaka Allah kheri Shekhe Mziwanda, mola akupe umri na Afya na Elimu zaidi ili waislam tuendelee kufaidika na wewe inshaallah.
Mwingine pilau ukweli muziwanda ALLAH akulipe ila kwenye dufu kataza hakuna swahaba wa kiume aliyepiga dufu kwahiyo dufu ni bidaa na maulidi si katika mafundisho ya mtume sw
TUNAPOTEZA MUDA MWINGI KTK DUFU, MABADILIKO MUHIMU, UISLAM HAUJULIKANI . SHEKH MZIWANDA . TANDIKA