Mwijuka kwenye interview yako ulisema Dudu baya unamzidi pesa,Dudu baya kakubali kuwa unazidi kweli pesa.Akatoa sababu kuwa pesa yako ww unaipata kwa njia chafu ikiwa pamoja na kupakwa mafuta na wanaume wenzako,yeye Dudu baya anasema pesa yake ni safi.