MAMA ALIA NA MTALAKA WAKE:KUTOKUZAA KWANGU ISIWE SABABU YAKUNINYANYASA/ANIACHE NA NYUMBA YANGU

Geah Habibu

Geah Habibu

45,884 views

Mama huyu anajambo lake kubwa ambalo linamsumbua na amekuja kwangu mimi kutaka msaada wa kimawazo na faraja kutoka kwa  Watanzania.Ambapo kubwa ni anamlalmikia aliyekuwa Mume wake ambapo kwa mujibu wa Mama anasema mwanaume huyo amekuwa akimsumbua kutaka wagawane nyumba amayo Mama huyo alijenga mwenyewe bila kusaidiwa na huyo Mumewe.Kinachomuuma zaidi anasema Mwanaume huyo anazo nyumba zake ambazo pia alijenga akiwa pamoja lakini yeye hakuwahi kuzitamani wala kutaka wagawane,Lakini nyumba aliyojenga ka jasho lake pekee ndio mwanaume anataka wagawane.
Tizama Mama huyu akielezea mwenyewe mwanzo mwisho tangu waivyokutana na mumewe hadi kuja kuachana.



#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah