Yaani utoke uende kwenye starehe zako na washenzi wenzako zisizo na faida yoyote kwenye maisha yako. unirudie huna chochote alafu unisumbue na washenzi wenzio.ata mimi ningekuwa nishakuacha zamani sisubiri leo
Hapa hakuna mwanaume kwanza anaonekana anapiga ana gubu ana sheria sana na hana dogo hakukua na kesi ya kumrudisha mke nyumbani hapo .pili hiyo ya biashara ya mke ndo ilishe nyumba na pesa ya shule ni wazi mke ndo ana mzigo mkubwa wa familia maana hayo ndo matumizi ya kila siku yanayoumiza kichwa kwa ufupi mke kamchoka kwa akili zangu hizihizi kabla sijamaliza kusikiliza huyu mwanaume ana matatizo
Huyu dada ni muhudhuriaji mzuri wa vikao๐๐๐sisterhood, motherhood, Queenhood, Girlshood and all hoods are so proud of u Mama Kauye USIRUDI!!! BTW huyu baba anavyoongea tu anaonekana ni shida kubwa... Jamani 22yrs??? Huna buku๐yooh๐na sshv bado anataka alipwe ndio talaka itoke๐๐๐khaaaa Jinga sana.... Eti polisi wamesema arudi nyumbani, yaani kama Taahira!!! Alikua kamfanya mkewe mtumwa wake na huyo dada angeendelea kukaa... Baba angejenga nyumba na angeoa mke mdogo... Baba huyo akili miyoo๐