Very painful 💔. 😠 anger has caused pain to the innocent family members 😢. Education about Social Emotional Intelligence has to be encouraged to the community.
Poleni sana watoto inauma sana haata kama mungu anatwaa kwa yule ampendae nisawa likini kwa hivi vya wapendwa wetu inauma sana jamani kwani mtu anaondolewa duniani ikiwa wakati wake bado haujafika ni kwa nguvu tu za binadam mwingine hii haija kaa sawa jamani
Inaumiza sana mauwaji hayataisha ng'oo Serikali ndio sababu wauwaji wangekuwa wanauliwa haraka watu wangeogopa lakini waliobaki wanaona kawaida wanauwa kila siku usiombe litokee kwenye familia inauma sana jitu limeuwa kusudi utasikia uchunguzi unaendelea pia linakimbilia police
Education about Social Emotional Intelligence has to be encouraged to the community.