13:15 mtume aliwauliza maswahaba kwamba niwaambie madhambi ma3 yenye kuangamiza maswahaba wakasema kwanini usituambie ya rasulullah mtume akasema mambo hayo ni kumshirikisha Allah ☝️, kutoheshimu wazazi wawili na kusema uongo au kutoa ushahidi wa uongo