nakukubala sana mwamba We are the number one comedian in Tanzania Mungu akujalie kwakweli maana unatuchekesha mda mwingine tunakuwa na mawazo lakini unatufanya tujiona tuko poa
Steve kweli Congo tuna kukubali sn wenda ungelikuwa Congo tungelipenda sn kwasababu we ni mtuu bora sn kwenye comédie tuna kukubali sn kusema kweli we ni mkali sn kbs