Assalamualaikum,sauti inajiludia naona kama haiko sawa ni vizuri tukusikie wewe mwenyewe live shk othman navutiwa sana hotuba yako nilisilimu kwajiri yako unaionegelea vizuri sana dini ya kiisilam mpaka nikavutiwa kuwa muslam nimejifunza kuswali online mpaka sasa Alihamdullilah 🤲 naswali nakufunga kadiri Allah alivyonijaria sijawahi kwenda madrasa
#LIVE🔴SHK.OTHMAN MAALIM || DARSA YA RAMADHAN 03 || MUBASHARA KUTOKA MASJID NOOR MUHAMMAD