Maeneo ya Tandale Sokoni karibu na Shule ya msingi Tandale kulitokea tuio la Mtoto wa miezi miwili kuibiwa na Mama aliyekuja hapo mtaani huku akijifanya anawajua baaadhi ya majirani wa mtaa huo kwa kuwataja majina kumbe dhumuni lake lilikuwa ni kuiba mtoto n kweli alifanikiwa kumuiba mtoto wa miezi miwili.Wananachi waeneo hilo wakishirikiana na Serikali ya Mtaa walishirikiana kumtafuta Mtoto huyo bila mafanikio hadi siku ya nane ambapo Mtoto alirudishwa na Dereva wa bodaboda akiwa amembeba mgongoni akiulizia nyumba anayoishi Mama wa Mtoto.
Sasa nisimalize maneno yote wewe tizama hapa ilivyokuwa mwanzo hadi mwisho mtoto alivyorudishwa kisha utoe maoni yako
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah