Bwana mdogo ninakupenda sana unachangamsha mtandaoni utani mzuri hauna upande mmoja mimi nashabikia Yanga endelea hadi dabi ipite na baada ya dabi pia atakaepigwa umpe vidonge vyake
Na mmehaha kweli mmewachokonoa watu kwa maneno yahovyo ili waongee kimya,ndio mjua wenye Jiji la Dar wanadhalau ongeeni wenyewe mjijibu wenyewe.sisi wakubwa hatujibizani na wanaonuka maziwa .pole.