Wengine tunaudhiwa na wanaovaa kofia muskitini huu kenge kavaaa innalillah wainnalillah rajuun Je nikulize sheikh ukienda mbere ya raisi utaenda na kofia ila Mungu ndo unavaa kofia heshimu dini
Hata tusisemee uisilam na ndio khasa muhim! Tusemee uzenji kiasili hatujawahi kuona.na haya ni mapinduzi tumekuwa tukimuona na vilemba safi kabisa sunna bora. Leo kofia sijui karithi kwa magufuli! Maana alizipenda sana magufuli hizi!
Nawasaidia naona mwababaika, kwani katika uislam kuna mavazi rasmi, au mwili usitirike, hata kanzu arabuni kuna watu waenda club na kanzu na hagal!!! Hakuna uniform za nguo in islam, jistiri mwili kiheshima, na takwa bas!!!