Ewe Allah msamehe na umrehemu na umuafu na msamehe Sh. Nassor Bachu na muoshe na maji na kwa theluji na barafu na mtakase na makosa kama unavyoitakasa nguo nyeupe kutokana na uchafu, na mbadilishie nyumba bora kuliko nyumba yake ya duniani na jamaa bora kuliko jamaa zake wa duniani, na wake bora kuliko wake wake wa duniani , na muingize peponi na mkinge na adhabu ya kaburi na adhabu ya moto. Aamin Yaa Rabi