LIVE: IBADA YA KUAGA MWILI WA JANE ANAYEDAIWA KUPIGWA RISASI NA MUMEWE
Millard Ayo
Subscribe
46,514 views
Ibada ya kuaga mwili wa Jane Urassa aliyepigwa risasi na Mume wake, kanisa la KKKT Mbezi Beach
Show more
13 Comments
@AngeloThomas-m9v
15 hours ago
Mungu amlaze mahar pema amina
1
@JuliasNkya
15 hours ago
😭😭😭😭
@HellenKahema
16 hours ago
Jane wangu jamani bye bye tutaonana baadae kipenzi Mungu awatunze Watoto jamani Jane wewe umeniliza mimi jamani😭😭😭😭😭
@Millywilly24
15 hours ago
RIP dada Jane😭
@VictoriaLucas-d3g
14 hours ago
Dada umelala tunalia sana, r.i.p dada
@subbralssasubeerlssa7104
13 hours ago
Jamani watt tuu ndio wananiuma daa😢
@edsonnelson4464
15 hours ago
Watu wajitahidi kutatua migogoro, wakko ndugu, wazazi, viongo izi wa dini
1
@subbralssasubeerlssa7104
13 hours ago
Jamani ukiona ndoayako inashida acheni amani yamoyo nikilakitu sasa umeviacha wote uyu jera uyukafa watoto mmewaacha yatima inauma pesainatafutwa roho haitafutwi poreni sana family nawatt kwaujumra
@violethmrema2869
9 hours ago
Pumzika kwa Amani Jane
@bullamsangi4049
10 hours ago
Jamaa kaona isiwe tabu
@josephmichael6057
14 hours ago
Jamani inaumiza lakin Jane amesha tangulia Mungu amlaze pema pepon Ameen
Nb ndoa nying haswa kwenye mali kunakuwaga na migogoro Ee Mungu ukasimame na wanandoa wote wasiishi kwa kugeukana Apumzike kwa Amaaani 😢
1 reply
@DianaNyange
15 hours ago
Duh inaumiza sna kamahayajafka kwenye family huwezikujuwa maumivu yamsiba Mwenyezi Mungu utusaidiye tupunguze maneno!
1
@EllynethMwaseba-o9g
13 hours ago
😭😭😭😭
Details
Related Videos
Comments
LIVE: IBADA YA KUAGA MWILI WA JANE ANAYEDAIWA KUPIGWA RISASI NA MUMEWE
Millard Ayo
Subscribe
46,514 views
Ibada ya kuaga mwili wa Jane Urassa aliyepigwa risasi na Mume wake, kanisa la KKKT Mbezi Beach
Show more