KIMENUKA PROPHET IPM APEWA ZA USO KISA KUBEBA KRET ZA BIA UKWENI SIJAWAHI KUONA MCHUNGAJI AKIWA VILE
Maks Media
Subscribe
15,858 views
No description available
Show more
20 Comments
@Maarifa_Film
1 month ago
Huyo sio mtumishi wa Mungu ni Mtumishi wa paulo kwakua anahubiri injiri ya paulo👈
7
@ahmedyislam1818
1 month ago
Huyu jamaa sijawahi muelewaga
10
@geofreymulei5695
1 month ago
Huyu bona freemason tu bona mnamwiita mtumishi wa mungu
4
@FrankJosephnzombo
1 month ago
Kwani umeona wapi ni mtumishi wa mungu yeye ni sawa mwamposa wanafiki wa dini
2
@constanciapeter2497
1 month ago
DAMU YA YESU ILISHAMALIZA KILA KITU...Hakuna Kafara nyingine inayozidi DAMU YA YESU❤
@pastoraluthe8238
1 month ago (edited)
Dada unaishi wapi Mbona umezungumza Kwa hisia Kali na kweli
Kabisa alafu nimependa kwamba asiwe chanzo cha kuharibu Imani ya wengine
3
@BeniJohn-xd3cn
1 month ago
Akuna mtumishi wa Mungu sema uyo ni mtumishi wa Miungu muelewe tofauti
1
@MichaelSichimata-ri2td
1 month ago
.huyo ni kiburi chauzima sikwamba hajui pia tulipo hapa panaitaji hekima na akili kwetu Sisi tunaochungwa
4
@MichaelManyama-p9u
1 month ago
Sijawai kumuelewaga jaman mungu atutete sote atupe macho ya rohon
5
1 reply
@FrankMwambwene
1 month ago
we mama ubarikiwe uko sahihi
2
@iddihalfan
1 month ago
Mdada mzigo wako wa dhambi umkabili Mungu mwenyewe sio kumtegemea mtu akuombee nimekuelewa😂😂
2
@RugaimukamuSimeo-r8z
1 month ago
Huyu sio mtumishi wa Mungu labda ni mtumishi wa mungu.
@EnockMhenzi-m6y
1 month ago
Ukosahihi mama ubalikiwe
2
@SamwelVicent-w9x
1 month ago
Ume ongea vizur sana safi sana
1
@ErnestMaina-s7b
1 month ago
Mtumishi Yuko sawa
2
@MushabahawapilNdoshi
1 month ago
Kwani ina kuhusu BABA haipim Akibeba. Mimi namwamini kama BABA Wa kiloho
1
@RamMakey-d9f
1 month ago
Mnaumiza kichwa kuwaongelea matapeli kazi hamna
1
@StellahGasper-e7b
1 month ago
Mama umebarikiwa
1
@aginiwenathan6018
1 month ago
Zaburi 1:1-2 utaelewa tu.tunahitaji kumuombea sana, kiki zimejaa sana.
1
@iddihalfan
1 month ago
DUNIA IMECHANGAMKA KWELI 😂😂😂😂😂😂😂😂
1
Details
Related Videos
Comments
KIMENUKA PROPHET IPM APEWA ZA USO KISA KUBEBA KRET ZA BIA UKWENI SIJAWAHI KUONA MCHUNGAJI AKIWA VILE
Maks Media
Subscribe
15,858 views
No description available
Show more