4th Oct 2026 Maandalizi ya Mashujaa Day

Iko Wapi Zamani

Iko Wapi Zamani

84 views

Ndugu zetu wapenzi karibuni katika Channel yetu @ikowapizamani mupate habari kemkem kuhusu historia ya mpira, vilabu na hata wachezaji katika Mji wa Mombasa na vitongoji vyake.
Kumbuka kujisajili (subscribe) ili upate kila jipya lijalo. Na vilevile tutumie ujumbe wako ambao utakuwa ni wenye kutufungulia ufahamu zaidi wa historia yetu.