Kumbe kuna Meya, soko kuu karibu na Rushda pananukaga sana mno..kule kilombero maji yanatiririka machafu pananuka wakati wageni wengi wanashukia maeneo hayo pale shoppers kufanya shopping na kubadilisha hela. Kumbe kuna mtu kalala usingizi ofcn watu wa design hii hutuwataki