🤲 DUA YA KUWAOMBEA MAREHEMU NA WAZAZI
Jana, Alhamisi tarehe 24/09/2026, tulikuwa katika mkusanyiko wa Dua ya kuwaombea wazazi na marehemu, iliyofanyika nyumbani kwa Mama Hafsa Bi. Lukia Kasim Dugange, aliyekuwa Mwenyekiti wa Juwakita Mkoa wa Njombe, nyumbani kwake Kipagamo – Makambako.
Katika Dua hii, ilishirikisha waumini na misikiti mbalimbali ikiwemo:
🕌 Masjid Suleyman
🕌 Masjid Taqwa Makambako
🕌 Masjid Amir Uhuru
🕌 Masjid Madina Kipagamo – Makambako
Katika mkusanyiko huo, Sheikh Nurdin Almas Mangula alitoa mawaidha akisisitiza umuhimu wa kuwa na vikao na mikusanyiko ya kuwaombea wazazi na marehemu, pamoja na kuendelea kuwakumbuka kwa Dua na matendo mema.
🤲 Allah awarehemu wazazi wetu wote waliotangulia mbele ya haki, awasamehe madhambi yao na awajaalie Pepo. Aamiin.
📺 TAQWA MEDIA MAKAMBAKO
Da’awah • Elimu • Maendeleo
#TaqwaMediaMakambako #Dua #Wazazi #Marehemu #Mawaidha #Makambako #Kipagamo #MasjidTaqwa #Njombe