Shukran sana habibty da leila ❤❤sema mahusianonya sasa bhana date ya keanza mshamaliza kila kitu wakat mwingine mnapata na mtoto😂😂😂Tumuombe sana mwenyezi mungu yan ulivyozungumzia namna ya kukutana date ya kwanza chai sijui mchana na chakula cha usiku waah hii ni ndoto ya kila mwanamke sema sisi sasa ndo wafukunyuku sana tunafukunyua mambo kabla ya wakat 😂😂😂mtihani
Bismillah and Asalam alaikum my sister from another mother elimu na utu tunasonga mbele bila kuchoka. Shukrani sana mwalimu wetu mungu ajaalie kheri KATIKA Kila hatua unayopiga