🛑 Acha Kuulizwa 'UPO?' – Fanya Hivi ili WAJUE UNACHOKIFANYA (Bila Kueleza Chochote!)
Madam Leila Abubakar
Subscribe
8,220 views
No description available
Show more
20 Comments
@MariamMngwali
9 months ago
Madam leila huna mbaya
Allah akulipe kila la kheir kwa ushaur wako mzuri
"Maashallah"
1
@guyogalora2736
10 months ago
Masha Allah.... shukran jazeelan
1
@ZiyanaBakary
10 months ago
Shukrani habibty Leila ❤
@KHAMISRASHEED1796
9 months ago
❤❤❤
@NahimanaAssumani
10 months ago
Maaashaa Allah❤❤❤
@maryamChumas
10 months ago
Shukran sana habibty da Leila❤❤❤❤❤❤❤
@mamuamtoto
10 months ago
@MadamLeila Abubakar:Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Mauti hayana umri tunaweza kufa umri wa chini ya miaka 70.
3
@FatmaMyinga
9 months ago
Mashaallah madam shukran Kwa elimu, naomba no. Yako madam
@guyogalora2736
10 months ago
waaleikum salam warahmatulahi wabaraqatu
@magdalenamoffat4835
10 months ago
Tulikumiss nikajuu Umeenda Kusalimia Watoto Nje ya Nchi karibu Sanaa
1
@NicolausinnocentNicolaus
10 months ago
😂😂😂😂 insha ya anasa umenibamba sana madam
@MustafaaliSaide-s8z
10 months ago
Assante
@sully-w8d
10 months ago
asante sana madam , nilikuwa nasubiri new video yaani kila siku nacheki
nime elimika , baraka Allahu feeki
2
1 reply
@yusufuheri6524
10 months ago
Asante sana mwalimu wangu kwakutudaridhia video hii nzuri na yenye kuvutia. Mungu azidi kukupa Kwa afya
1 reply
@A.856
10 months ago
JazakaAllah khayran
1 reply
@ummusulaish5586
10 months ago
Assalamu alaykum warahmatuLlah
Shukran sana Madam.kwa kutuelimisha japo kuwa Tulikumiss sana Ila AlhamDuLillah kwa kukuona tena
1 reply
@alassannzhass6893
10 months ago
Assalaam alaykum
Nafurahi sana kukuskia. Kiukweli unaniweka sawa ki psychology. Unazungumza ki hekima na unaeleweka vizuri sana. Nakupenda sana. Allah akuzidishie iyo elimu yamanufaa na kuzidi kutuelimisha ili tujitamuwe vizuri.
Ahsante.
1 reply
@fatimawazeer701
9 months ago
😂😂nimecheka hapo safari ya aghera kusahau mswaki safari ukifika ni mtihan kwa mwanadam😢 Alhamdulillah
@Meyrah2
10 months ago
Assalamualaikum warahmatuLlahi wabarakatuhu madam umepotea mno
1 reply
@SamiaIbrahim-b3k
10 months ago
Assalam aleykum nimekuwa nakusubiri kwa hamu ili nielimike
1
2 replies
Details
Related Videos
Comments
🛑 Acha Kuulizwa 'UPO?' – Fanya Hivi ili WAJUE UNACHOKIFANYA (Bila Kueleza Chochote!)
Madam Leila Abubakar
Subscribe
8,220 views
No description available
Show more
Allah akulipe kila la kheir kwa ushaur wako mzuri
"Maashallah"