BWANA YESU asifiwe maombi mazur lakini ni hatari watumishi kuwa na mawigi,lipshine,hereni na makeup MUNGU akitazama haoni mtu anamuona Yezeberi ondoeni iyo kazi ya shetani milini mwenu asnt
MTUMISHI JULIANA STEVEN - KUTOKA KWENYE AGANO LA LAANA KUPITIA JINA ULILORITHI - TAR:14/10/2023
Radio Safina Ministry
3,201 views
MAFUNDISHO YA NENO LA KRISTO NDANI YA UKUMBI WA MAOMBI NA MAOMBEZI WA RADIO SAFINA ULIOPO MBAUDA JIJIN ARUSHA