HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KUU

Tayo Dayosisi ya shinyanga

Tayo Dayosisi ya shinyanga

2,979 views

Ujenzi wa jengo la Kanisa Kuu, Mt.Stefano. Tarehe 27/09/2026.
Mgeni Rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mahali: Kanisa Kuu - Mt.Stefano, Shinyanga Mjini
Kuanzia Saa 05:00 Asubuhi