Well said Konkiβ€. Mazinge amejidhalilisha na ameudhalilisha uislam . Huu ni upuuzi wa mambo ya kishetani/ ya uongo/uchawa.Eti shehe unaitwa kwenye tukio hili la kipuuzi halafu unaenda, shame upon you.Njaa ni mbaya sana janani.π’π’π’
Nimemsikiliza vizuri sana sheikh mazinge hakuna baya alilo ongea yeye alijikita katika kukataza zinaa na waliokuwa hawaja owa au kuolewa waolewe na kuowa. Na sheik au Ustashi, padri au askofu na mchungaji wanahaki wakiona watu wanazini au MTU anaishi na mwenza wake hawajaowana awambie waowane. Sasa mazinge amefanya kosa gani? Najuwa wanao mpinga wanapenda zinaa. Lakin japokuwa unapenda zinaa lakin mpongeze kwa alivyo kataza zinaa.
Sawa kabisa dudu baya... umeongea sawa sanaaaaa... huyu mazinge katia aibu sana.. kaacha kuuza maji ya upako na mwenzake shek sharifu...? Anaanza kuranda randa tu mitaan