USILETE UKAFIRI HAYA HAYAPO MADRASA USIDANGANYE-UST MKURAISH
Ustadh Shafii Online Tv
Subscribe
1,644 views
USISAHAU KU SUBSCRIBEB CHANNELI HII
Show more
20 Comments
@kakamahmoudkiwendu1289
2 days ago
Ila inavyoonekana hawafanyi hivi kwa ujinga ni mipango tu mtu mwenyewe anaonekana kabisa kuwa anaunganisha maneno ili kuuchafua Uislamu
6
@allybetese6201
2 days ago
Mashekh mnakaz kwakwel Allah awap subra lnsha Allah
2
@SuleymanMussa-k7m
12 hours ago
Mashaallah
@kakamahmoudkiwendu1289
2 days ago
Allah awape nguvu na subra msije mkachoka kuwaelimisha hawa watu
1
@amuriyahayamwalibandu-z5t
2 days ago
mansha-allah sheikh ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@AliNassour-p4q
1 day ago
Kumbe alitoka katika ukafiri Moja Kwa Moja.
@majutoJohn-e4v
1 day ago
Huyu mkiristo anaonekana Hana Hakili Timamu
2
@kessikahawamango4114
1 day ago
Baba muislam mama mkristo ndoa imefungwa kanisani hapo hapana uislam
@AzizihFarijala
9 hours ago
Wewe ni muongo Sana madrasa hawafundishi uhasama baina ya dini na dini
@hassanshadhly3481
1 day ago
Wanafunzi wa madrasa wanarudi na zawadi kumpelekea maalim wao zawadi.
@mwanaidiissa10
1 day ago
Hawa wanaojifanya wanaujua uisilamu huwa hawajielewi
@Dhulkifly1
1 day ago
Mambo kwa ushahidi
@kessikahawamango4114
1 day ago
Atwambie kasoma madrasa gani na ustadhi wake alikuwa nani.
1
@Dhulkifly1
1 day ago
Na hizo adhabu huko mashuleni zinatolewa na walimu wasio waislamu
@samxx411
22 hours ago
Hivyo anavyojieleza ishatosha kuwa yeye mkristo toka mwanzo
@SaidKarama-z4e
2 days ago
Huyo ni muongo sana Hajawai kuwa Muislamu
2
3 replies
@salumalriyamy
7 hours ago
Waachecni wadhihirishe uongo wanaofunfishana kwenye mafundisho yao
@AliNassour-p4q
1 day ago
Alikuwa sio muislam yeye na baba yake.
1
@hamisijuma3276
9 hours ago
https://youtube.com/shorts/UkUp_13mLAA?si=5pK8FQrB0pSDuHXS
@samxx411
22 hours ago
Sasa huko sunday school hakuna vipigo na mnasomeshwa vizuri lakini mbona mnashindwa kuhifadhi biblia moyoni angalau injili ya mathayo peke yake wakati waislam wanahifadhi quran yote.
Details
Related Videos
Comments
USILETE UKAFIRI HAYA HAYAPO MADRASA USIDANGANYE-UST MKURAISH
Ustadh Shafii Online Tv
Subscribe
1,644 views
USISAHAU KU SUBSCRIBEB CHANNELI HII
Show more