Style hii ya kutumia majina ya watu maarufu ili kuweza kujulikana naendelea kuyiangalia kama ni njia sahihi ya watumishi wa Mungu kuinukia. Ngoja tuone tusilaumu sana , acha muda utatupa majibu ,
Hebu jitambulishe vizuri kwanza maana hata huelewi unachokiongeaa, mwenzio ametembea na Mungu miaka zaisi hamsini wewe, kuna kanuni ya kukubali kutokubaliana.
Sai ni wakati wa uamusho, uamusho ni sasa ww mtafute Mungu zaidi akufununulie uamusho, ni lazima watu wamungu waache dhambi watafute uso wa Mungu,Yesu anasema jiandaeni mioyo yenu Yesu yu karibu kurudi, Pastor Mungu yuko sahihi, ww Sai muto alio utabiri yesu sai hauna maji ww bado unashidana n uamusho, amkeni mumutafute Mungu kwa bidii
Hii ni laana sana vijana wadogo kukaa na kuanza kujadili wazee wa imani. Mzee ameanza na kujenga kanisa nq kujiimalisha kitaasisi(Church growth)kwanza ndipo kazi iende na sasa amekamilisha sasa subiri 2027 utaona kazi.