Yaaani umenibariki sana Prophate Loringa , kiukweli wakristo tumeharibu sana kwa kila mtu kutoa unabii mengine yanakuwa uchochozi dhidi ya kanisa na serikali lakini mengine ni watumishi kwa watumishi kupingana haswa wale wasio na karama kubwa kuwakandia walio pewa vipawa hivyo, yaani ni vurugu. Yesu atusamehe na kanisa likae kwenye neno na kuiombea nchi na kanisa lisijiingize kwenye siasa bali mzigo wa kuiombea nchi, maana hilo ndilo tuliloitiwa wana wa Mungu. Ahsante prophate
Mentality ya wakristo wanajua utumishi ni kuwa prophet tu, Hawaelewi kuwa akina Daniel walikua watumishi wa Mungu ikulu, akina yusuphu walikua watumishi na mawaziri piah, Mnawaachia akina nani nchi yenu mliopewa na Mungu?? Wote tunaishia kuhubiri tu lkn hatujaendelea mbele kujua kuwa kuongoza nchi piah ni jukumu letu kubwa sana ili Haki yetu iinue taifa letu,
Na ufalme wa Mungu ili uzidi kuenea ktk taifa letu lazima tuwe na watu wenye haki ya Mungu katika mifumo ya kiserikali
Mungu wa rehema utizamaye mioyo ya wanadamu.....nakuomba utukomboe na utuponye na dhoruba zote. Kupitia watumishi wako wote wanaokutumikia ktk roho na kweli wasimame juu ya hili....watuvushe katika mabaya yote yaliyo kusudiwa juu ya taifa letu....mtumishi wa Mungu nakuomba tumia neema uliyo nayo tukuvusha sisi wote tunaomwamini Mungu kupitia wewe
Kweli kabisa. Anaehubiri maono ya Mtumishi mwingine kafirisika kiroho, ongea Man of God tu songe mbele Nabii Kama kazi towa Unabii Kama kazi tupone, Mahubiri tumapata sana Ila Unabii ni huduma mpya kwa waliowengi, I shamba unatusumbuwa, Mimi naamini katika Unabii, I believe in Miracle
Nani nabii sizizo na uponyoji wa Mungu Kila siku ni kunena juu ya mabaya yatakayotokea Kisha hakuna majibu kwa kweli kama ulivyose imekuwa kama uganga wa kienyeji
Unabii Mpya Watisha 🥹!! Nabii Rolinga afichua mazito kuhusu uongozi wa Tanzania 🇹🇿 Utalia skiza.