Tanzania ni nchi nzuri sana tatizo ni nyie wanasiasa mnatufanya tunachukiana. Yaani utashangaa wakristo na waislaamu wanajadiliana mambo ya dini kwaamani kabisa kila upande unaweka hoja zake mezani tena wanafurahia hilo kabisa. Ukija kwenye ukabila watu wanataniana kila kabila na mtani wake hakuna ugomvi. Njoo kwa wanasiasa sasa wao wanawaza kuuwana tu. Kweli mnatuharibia taifa letu zuri😢😢😢😢😢😢😢😢
Lakini prof.matatizo yote yaya kisiasa hapa nchininchini yamesababishwa na chamatawala, mauaji, kuharibu uchaguzi, ubaguzi, kuteka, kuonea, majeshi na vyombovyote vya dola CCM inasema na kwa uzoefu ni mali ya C c.m. Wnaofungwa na kutekwa na hata kuuawa, ni chama tu kikuu cha up insanity, Chadema. Mazungumzo hayo yote unayotupatia, imani kwenu CCM imeondoka habitat.