ata mimi Kuna mume kasema nataka Nikuoe Ila ananishangaza kitu kimoja akipiga cm basi usema nataka niku one kwani uko na boss wako kama ayupo nataka niku one vizur utoe mashungi na uyu mtu anamke na wajukuu mimi umuambia siwez fanyaivo wewe sio mume wangu