GRAND MASTER SURE & CHIONDA | MIUNGU KUTOKA SAYARI NYINGINE

Matuta Alkebulan

Matuta Alkebulan

5,020 views

🌍 Wakombozi wa Fikra ni jukwaa la fikra huru, historia na uchambuzi wa kina kuhusu nafasi ya Mwafrika duniani. Tunafichua ukweli uliofichwa, tunazungumza kuhusu ukoloni, utumwa, ubeberu na namna Afrika inaweza kujikomboa kiakili na kiuchumi.

πŸŽ™οΈ Kupitia podcast na mijadala ya kipekee, tunamulika thamani ya Mwafrika, urithi wake, na safari ya ukombozi wa fikra kwa vizazi vijavyo.

⚑ Jiunge na harakati hii ya kiakili na kihistoria β€” kwa ajili ya mwamko wa Afrika na mshumaa wa mwanga katika giza la utumwa wa kiakili.

πŸ‘‰ Subscribe kwenye YouTube na follow Instagram ili usipitwe na vipindi vipya, mijadala na ujumbe wa ukombozi.

#WakomboziWaFikra #Ukombozi #HistoriaYaAfrika #FikraHuru