muongo sana, Hata biblia unayoiamini imeandikwa na ni utamaduni wa wayahudi. Hata nakabila yetu yaliabudu mungu kwa namna zao. Ukweli halisi ni kwamba, tupo tulivyo hivi leo kwa mpango aliouruhusu na kuubariki Mungu. Waroma ilimpendeza Mungu waitawale uyahudi, na kutufanya tuwe na mifumo ya maisha hii tuliyo nayo. Vinginevyo huyu mungu unayemsema wewe hana nguvu. kuna mwenyewe mwenye nguvu.
Ikiwa kama watu wana uwezo wa kukujengeeni makanisa na misikiti basi ndio hao hao walikuwa na uwezo wa kukuleteeni dini muweze kusali katika hayo maboksi ya matofali...Chionda ameweza kuona na kufikiria nje ya boksi ndio maana anaongea tofauti na wao.
Biblia haikukabidhiwa kwa waisraeli Mzungumzaji endelea kuchimbua utapata ukweli wote
Soma na tafuta mkutano wa nicea Soma kuhusu king James halafu isome biblia uone jinsi inavyojichanganya Na ndio maana wakatoliki hawasomi biblia wanatumia kakitabu ka muongozo wa misa tuu