Allah akujaalie subra sheikh dunia ni gereza kwa wacha Allah pia Allah atahukumu baina yenu siku ya hukmu pia waislamu tusiache kuwaombea dua masheikh zetu
Mtu mweny kusema kwel ya haki.Atakizuriwa namabatili.Chozi lake na damu yake italipwa duniani na aakheraa.Namweny kuitetea haki ajutii Madhila yanayomkuta.Sababu nishaidi.Namashahidi awatakaa kimyaa