Maisha ya MWADAWA au BI STAR mtoto wa MZEE KIKALA ndani ya tamthilia ya KOMBOLELA.
NYUNDO TV
Subscribe
41,431 views
#nyundotv
#kombolela
#lovestory
Show more
20 Comments
@MpockMwansakanile
3 months ago
Na hiv sina wazazi nataman mwadawa uwe mzazi wangu wa hiari nivile nakukubar sana wote watoto wa mzee kikala nawapenda et naipenda sana kombolela❤
1
@KhalidNa-bn4gp
1 year ago
Nan anaķubaliana na mie kua sizan2 ndo inanoga😂😂 nitam sanaa😂
5
@JsJe-w5i1f
1 year ago
Kumbe pale aliigiza tuu mlemavu daah ❤❤
1
@ZakiaaZakia
1 year ago
Nampenda Sana hiyo mama ila naomba waigize na riyama itapendeza zaid❤❤
9
1 reply
@SaidNyangasa-e5t3w
4 months ago
Mungu awape maisha marefu family ya kombolela watoto wa Mzee kikala siwa I love you ♥️♥️♥️ nakukubari siwa kikala
@ZainabAbdurahman-l2e
1 year ago
Nampenda mwadawa ❤🎉 na Siwa
1
@FelisterChadewa
1 year ago
Nampenda Sana huyo mama Mungu akutunze
@halidhemed7524
1 year ago
Season 2 nzuri Zaidi 🎉
@RahmaIddi-s2s
1 year ago
Tunamkumbuka sana huyu kaole...mke wa muhogo mchungu....akina kibakuli... nyama yao...wasanii wa kaole nyie ❤❤❤❤
1
@NuruRamadhani-p5b1f
1 year ago
Nampenda sana huyu mama
2
@monicamumwi6457
1 year ago
Hata mie nampenda sana mwadawa.. Nikimuona tuu na dada zake wote naanza kicheko 😂😂
1
@SaidNyangasa-e5t3w
4 months ago
Mpo vzr kwa kweri ongeren sana familia ya kikala ila siwa na chuki mwadawa I love you so much 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@ReginahSolomon-z3f
1 year ago
Kwakweli hata mimi napenda kombolela
3
@halimamasai2234
1 year ago
Hongera sana Bi Star
1
@AsmaAsma-og6ul
1 year ago
❤❤❤❤❤❤❤
@MputuDavid
1 year ago
unaweza sana God bless you
2
@FatmaHamad-g6s
1 year ago
Kweli tujifunze hii move ni chuo cha adabu
4
@Djbentusheetz
1 year ago
Mashallah
1
@hamissahamissa105
1 year ago
Tupo na bega kwa bega tokea kaole hadi sasaivi mwadawa binti kikala😂😂❤❤❤
@MagrethMwakalasya-h2l
4 months ago
Jamani ileteni kaole ianze moja ilipendeza sana
Details
Related Videos
Comments
Maisha ya MWADAWA au BI STAR mtoto wa MZEE KIKALA ndani ya tamthilia ya KOMBOLELA.
NYUNDO TV
Subscribe
41,431 views
#nyundotv
#kombolela
#lovestory
Show more